Boss wa jiji Mike Sonko, amejiunga Na Rende ingine kibao kumsifia jamaa mmoja mcouragious aliye jitolea kumsaidia mathe mmoja kuzaa.

Do you have a lead on a newsworthy story? Share news tips with us here at Hivisasa!

Akichora kwa page yake ya Facebook, Sinko alibambika sana na huyu jamaa kwa courarage yake ya kumsaidia huyo mathe kuzaa.

"Leo hero wangu ni George. Huyu jamaa anakuwa angel ama nini? After wasee wote kwa ndai kutoka mbio time mathe alishikwa na labour pains, yeye alitokezea kumhelp." Alibonga.

Jamaa aliyetambulika tu kama George, anadunganga works ya udere wa matatu. 

Jana mathe mmoja kwa ndai yake alishikwa na labour pain. Jamaa alimsaidia kupush katoi na kalipotoklezea, alispidisha Nema Hospital so that mathee na mtoi wake wapate matibabu.

"Mathe aliposhikwa na labour pain, sikuwa na otherwise. Nlimsaidia kupush katoi na kalipotoklezea nilispidisha Nema Hospital ndo ashughulikiwe na manurse." George alisema.

"Baadaye nilidungia bwanake nangos anayekuanga Narok, akakimbia kuendeleza iyo works. Alipata katoto kaboy kamezaliwa." Aliadd.

Baada ya kujitoma hiyo tote, huyu deree alirejea works na kuendelea kujenga taifa huku akiwaachia wasee tofauti stori ya kuchapiana.

To be the first to get the latest Political News updates for free, WhatsApp the word "POLITICS" to 0717410719.