ADVERTISEMENT
Share news tips with us here at Hivisasa
Familia za kurandaranda mjini Nakuru zimekuwa na kila sababu ya kutabasamu baada ya kutembelewa na wahisani.
John Munga Njogu aliyeongoza vijana wa kanisa katoliki St Monica Lanet kutembelea vijana hao alisema kuwa waliamua kuonyesha upendo kwa familia hizo.
"Hatujafanya hivi sababu tuna mali bali ni upendo tu kwa familia hizi," Njogu alisema.