Do you have a lead on a newsworthy story? Share news tips with us here at Hivisasa!

Gavana wa kaunti ya Nakuru Kinuthia Mbugua ameungana na viongozi wengine kuwapongeza waliofanya vyema katika mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE 2015.

Gavana Mbugua amesema kuwa in bidii na uvumilivu wa watahiniwa ndiposa wamepata matunda.

"Ningependa kuwapongeza watahiniwa wote wa KCSE mwaka Jana kwa na pia walimu Kwa matokeo,"Mbugua alisema.

Wakati huo huo alisema kuwa serikali itazidi kuyapa kipaumbele maswala ya elimu.