ADVERTISEMENT
Share news tips with us here at Hivisasa
Moto umeripotiwa kuzuka katika kiwanda kimoja eneo la viwandani Nakuru.
Moto huo ulizuka Jumatano majira ya mchana.
Kulingana na Sammy Ngatia, moto huo umezuka kwenye kiwanda hicho na kushukiwa umesababishwa na tanka la mafuta.
Hata hivyo, haijadhibitishwa chanzo cha kisa hicho.
Taarifa zinasema wazima moto wa kampuni ya Timsales tayari wamefika kwenye eneo la mkasa.