Mbunge wa Lugari Ayub Savula ametoa wito kwa serikali kuu kuhakikisha kwamba swala la IDPs linashughuliwa. 

Is there a story unfolding in your community? Let Hivisasa know

kizungumza na wanahabari jumapili hii mjini Nakuru, Savula alisema kuwa ni jambo la kusikitisha kwamba hadi wa sasa bado kuna wakimbizi wa ndani kwa ndani.

"Serikali inafaa kumaliza swala hili la IDPs mara moja,"Savula alisema. 

Wakati huo huo mbunge huyo alisema kuwa wakenya wazidi kumwomboa naibu rais William Ruto.