ADVERTISEMENT
Is there a story unfolding in your community? Let Hivisasa know
Mwanamume wa umri wa makamo amefikishwa mahakani kwa kosa la kulawiti kijana wa miaka miwili unusu.
Januari 13, 2016, John Maingi Mulwa anadaiwa kulawiti mtoto huyo eneo la Mikindani eneo bunge la Changamwe.
John Maingi alikanusha mashtaka hayo mbele ya hakimu Richard Odenyo.
Mahakama ilimtoza dhamana ya shilingi 200,000.
Kesi yake itasikilizwa Februari 2, 2016.