ADVERTISEMENT
Do you have a lead on a newsworthy story? Share news tips with us here at Hivisasa!
Balozi wa Uswidi nchini Johan Borgstam Ijumaa aliwashangaza wengi kwa kunakili ubaoni kwa lugha ya Kiswahili alipokuwa kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa shule ya msingi ya Old Kibera iliyokarabatiwa upya chini ya ufadhili wa hazina ya CDF eneo bunge la Kibera.