Is there a story unfolding in your community? Let Hivisasa know

Maji yamejaa katika hii barabara, ambayo hutumiwa hata na magari. Watu sasa wamelazimika kupita kando, ili waepuke kukanyaga matope.