Is there a story unfolding in your community? Let Hivisasa know

“Tumeweka usalama wa kutosha maeneo hayo na wanaoeneza uvumi kuwa maeneo hayo yanalengwa na makundi fulani, wakome kueneza propaganda hizo,” Sankei alisema .

Alisema kuwa maafisa wake wanaendeleza uchunguzi dhidi ya madai hayo na chanzo chake na atakayepatikana atachukuliwa hatua kali za kisheria

Aliwataka wanaoishi katika maeneo hayo badala yake kukaa kwa amani akihNaibu kamishna wa jimbo la Nakuru Thomas Sankei amewataka wanaoeneza uvumi kuhusu makundi haramu katika mitaa ya Flamingo, Pangani na Lakeview kusitisha uvumi huo mara moja.oji kuwa afisi ya usalama katika jimbo ndogo la Nakuru iko macho na tayari kukabiliana na hali yoyote ya kuvuruga amani ya wananchi.