ADVERTISEMENT
Share news tips with us here at Hivisasa
Hawa ni Wakristo wa kanisa la Kiadventista la Enchoro katika wadi ya Gesima kaunti ya Nyamira wakioshana miguu. Walikuwa wanasherehekea pasaka hii leo Jumamosi.
Uoshaji wa miguu ni ishara ya amani na upendo baina ya wakristo na jamii yote kwa jumla.