Polisi kutoka Kituo cha Polisi cha Keroka walifanikiwa kunasa dumu za pombe haramu katika kijiji cha Enchoro, Wadi ya Gesima katika Kaunti ya Nyamira siku ya Jumamosi.

Share news tips with us here at Hivisasa