Umbo la mwanamke limekuwa kigezo kikubwa sana katika mahusiano yao na wanaume.
Mojawapo ya sehemu za mwanamke ambazo wanaume huangalia kabla ya kuanza kuchumbiana ni makalio.
Sehemu hii ya mwili inaweza kukusaidia kubaini tabia za kidosho wako. Kama hupendi wanawake wavivu, usioe mmoja ambaye ana makalio yanayofanana na umbo la moyo.
Akina dada hawa wana makalio ambayo ni madogo sehemu ya juu na makubwa chini karibu na sehemu ya juu ya pembejeo. Wengine huyaita makalio yenye umbo la duara dufu.
Aina hii ya makalio inatamanika na wanawake wengi kwa sababu yanawavutia wanaume wengi.
Kila mwanamke mwenye hili umbo atakuwa na foleni refu ya ‘waekezaji’. Wanaume wanafaa kuchunga sana wakiwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake aina hii.
Wanawake hawa huwa wazembe kwa sababu wanajua wana 'dhahabu' waliyopewa na Maulana na wanaume wanaitafuta usiku na mchana.
Ni hakika kwamba wanajua wanavyo vile vitu ambovyo vinazingua wanaume. Hili linawafanya wawe na tabia za kuudhi.
Wakati mwingine wanawake hawa wanalazimika kuwa wakarimu sana kwa sababu ya kufurika kwa wanaotaka wawe wapenzi wao.
Kuna kundi la hawa wanawake ambalo lina marafiki wachache kwa sababu wenzao hawawezi kuvumilia tabia yao duni.
Kando na ubaya huu, wanawake hawa huwa wazazi wa kupigiwa mfano. Wao huwalinda wanao vyema na kuwapa motisha kutia bidii maishani.
Aidha, wao hujaribu kuwashawishi watu wengine wawape wanavyotaka.
#MyLifestyle