Mapenzi yana mafumbo mengi ambayo yanastahili kufumbuliwa. Kati ya vitu ambavyo ni sharti viangaziwe ni kimo cha mwenzako. 

Share news tips with us here at Hivisasa

Wanawake wafupi ni wema kuwa nao kama wachumba. 

Wanaume wanaochumbia wanawake wafupi wafurahie yafuatayo:

Wepesi wa kukumbatiana

Kukumbatiana ni kiungo muhimu kwenye uchumba na mapenzi kwa ujumla. Kitendo hiki kitarahisishwa ikiwa mkeo ni mfupi kukuliko.

Ataonekana mrefu

Wanaume wanapenda kuonekana wenye nguvu na mamlaka makuu na urefu ni kati ya vitu vinavyowafanya waonekane wenye uwezo mkubwa kukuliko.

 Ikiwa wewe ni mfupi, kupata mpenzi wa kiume itakuwa rahisi kwa sababu hata wale wenye kimo cha kadri watajiona warefu na hilo litaongeza kiwango chake cha kujithamini.

Wepesi wa kukubeba

Wanawake wanapenda kubebwa. Ikiwa utalala sebuleni, mumeo ataweza kukubeba hadi chumba cha kulala bila kukuamsha. Aidha, mwaweza kuanza mchezo mahala popote bila kujali ugumu wa kusafirishwa hadi sehemu mwafaka.

Wingi wa ‘nafasi ngono’

Kando na ukweli kwamba ngono ni mchezo wa jinsia zote hii nyanja inatawaliwa na wanaume. Mfalme huyu ataweza kufanya atakavyo kwa manufaa yako ikiwa wewe ni mfupi. Ufupi utmuwezesha kukugeuza na kuweka kwa mkao ufaao.

Ataonekana mwenye msaada

Wanawake wafupi huomba msaada kwa wapenzi wao kuliko vidosho warefu. Malkia hawa watahitaji msaada wa kuchukua vitu kutoka kabatini na sehemu zingine zilizo juu. Hili litamfanya mume ajihisi mwenye manufaa mengi sana maishani mwako.

#MyLifestyle