Mombasa County Governor Ali Hassan Joho has been put on the spot by the Kwale County's Msambweni Constituency.

Share news tips with us here at Hivisasa

The constituency's communication team issued a statement on October 5, accusing Joho of working hard to deny electorates tittle deeds and frustrating area MP Suleiman Dori's efforts to serve the people.

According to the statement, Joho occasionally dragged efforts to issue tittle deeds in Mombasa's Kisauni Constituency and that he now wants to frustrate same activity in Msambweni after Dori declared support for Deputy President William Ruto, ahead of 2022.

Below is the full statement (in Kiswahili):

"Baada ya kua Mbunge wa Kisauni na kufanikiwa kua Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho ameshindwa kuwatetea wakaazi wa Pwani kwa masuala tofauti tofauti mojawapo ikiwa ardhi.

Hivi majuzi wakaazi wa Kisauni walikabidhiwa hati miliki zao za ardhi baada ya kukaa kwa takriban zaidi ya miaka 10 bila umiliki rasmi wa ardhi. 

Jitihada zote hizi zilfanywa na Mwenyekiti wa Muungano wa Wabunge wa Pwani na Mbunge wa Msambweni Hon Suleiman Dori akisaidiana na Mbunge wa Kisauni Mheshimiwa Ali Mbogo.

Unapostaajabu ya Musa basi tarajia ya Firauni; 

Gavana Joho ameamua kumpiga vita Mheshimiwa Dori na wenzake kwasababu ya hao kua mstari wa mbele kutetea wanyonge hususan wakaazi wa Msambweni.

Gavana Joho ameamua kujiunga na baadhi ya watu (kama walivyo kwa picha) ili kutatiza upeanaji wa hati miliki za wakaazi wa Msambweni hususan sehemu ya Gazi, Magaoni n.k.

Kama alivyowafanyia wakaazi wa Kisauni ndio anataka kuwafanyia wakaazi wa Msambweni lakini hilo halitofaulu kwani Mola Ndio Mtoaji Riziki. 

Yeye ashajua kwamba baada ya 2022 hatokua popote ndipo ameamua kupotosha wakenya kupitia njia fiche ambazo zishafichuka, ama kweli mbio za sakafuni huishia ukingoni.

Kazi Kwanza."

#hivisasaoriginal