Celebrated KTN journalist Ali Manzu on Sunday sent President Uhuru Kenyatta an open letter regarding the National Youth Service (NYS) corruption scandal.
In a tweet, Manzu noted that Kenyatta should take action against those involved in the NYS scandal or it will taint his legacy.
"Mh. Rais @UKenyatta jioni njema popote ulipo.Samahani ila naomba niseme hivi, kwamba kutengeza na kuacha legacy ni jambo zuri sana, ila inabidi uwe mwepesi wa kuchukulia hatua wanaoiharibia sifa serikali sababu ya ufisadi. NYS ni aibu kubwa! Wajibika kwa vitendo.Niite @Ali_Manzu," Manzu posted on his Twitter handle
This translates to; " His Excellency President Uhuru Kenyatta, good evening where you are. I'm sorry but allow me say this, crating a legacy is a very good thing, however, it requires you to be stern and take action against those tainting the image of your government because of corruption. NYS is a big shame! Come out and take action.
The letter elicited a lot of reactions from Kenyans on Twitter. Here are some of the reactions:
Angwenyi Gichana @Agichana: He doesn't read tweets and the people who handle his account will never tell him.
tito @tituskimanthi : Sasa mnataka nifanye nini
Owino Kotieno™ @owinokotieno : Ndugu @Ali_Manzu , swala hili limekuwa kidonda ndugu na kama wimbo kwenye hekalu. Swala hili ni ladharura na lazima alivaliye njuga ile tuweze kuwa na Imani na asasi za sirikali. Aanze na wenye ushawishi mkubwa , ndio wadogo waogope.
Obare Bw'obare Evans @evansokenya : Lakini pia kaka tusemezane ukweli kama wananchi watukufu Wa taifa, tabia zetu kidogo mbovu na mamlaka ya taifa hayana nia ya kuiweka nchi katika nchi zilizo stawi..
OLAL @ItsOlal : Kuakishia kipofu taa ni kuharibu mafuta!
Alingo Akumu @akumualingo : Wacha kupiga guitar
Mohamed Rashid Osman @MohamedRashido1 : Buda,unampigia mbuzi gitaa
Nicholas Kirimi Rancha @KirimiRancha : Ukweli mtupu.
@Omar_yousuf97 @omar_yousuf97 : Ushasema kaka
Erica Clement @GesareOmiti : Naomba Niongezee , ile kashfa ya container ya wizara ya afya isisahaulike. Wezi wasipate hifadhi ikulu. Twaomba tupunguziwe mzigo wa ushuru.