Dereva mmoja wa magari jijini Mombasa ametozwa dhamana ya shilingi 100,000 kwa kosa la kusafirisha na kuingiza raia wa uhabeshi kinyume na sheria.

Do you have a lead on a newsworthy story? Share news tips with us here at Hivisasa!

Aprili 21, 2016, Robert Msando Meti ambaye ni dereva wa gari aina ya Toyota, anadaiwa kusafirisha raia watatu wan chi ya uhabeshi katika eneo la Likoni.

Siku ya Ijumaa, Msando alikanusha mashtaka hayo mbele ya hakimu Diana Mochache.

Kesi yake itasikilizwa Juni 2, 2016.