Cabinet Secretary wa Interior Dr. Fred Matiang'i alitokea kwa ile invitation ya wahesh wa comitee on security ndio adungane majibu kuhusu deportation ya miguna miguna aka the general. 

Share news tips with us here at Hivisasa

Matiang'i alikacheza safe nakuambia wahesh ile haikua deportation coz mgenerali akukanyaga ‘mchanga ya Kenya’ but alikua tu on the airside pale JKIA.

Matiang'i aliendelea na kudai ivi:

“Miguna Miguna alicome bila makaratasi, akakwara kutoa passport so maworkers wa pale airport awangejua yeye ni nani? After hapo ilibidi atembeze kiatu arudi pale alitoka, Dubai international Airport.”

Kwa hiyo mahojiano Dr Matiang'i alikuwa na boyz wake Inspector General wa Makarao Joseph Boinet na pia mdirector wa Immigration Gordon Kihalangwa.