ADVERTISEMENT
Do you have a lead on a newsworthy story? Share news tips with us here at Hivisasa!
Kijana mwenye umri wa makamo amefungwa miaka minne gerezani kwa kosa la wizi.
Nahashon Mwendwa Kyengo alidaiwa kuiba pesa taslimu shilingi 21,000, kadi ya NSSF, Kitambulisho na laini ya simu kutoka kwa Titus Mutunga Ngumbi.
Siku ya Ijumaa, Nahashon alikubali makosa hayo mbele ya hakimu Richard Odenyo katika mahakama kuu ya Mombasa.
Mshtakiwa yuko na siku 14 za kukata rufaa.