Huyo ni Gavana wa Kaunti ya Kisii James Ongwae pamoja na ajuza mmoja aliyeambia Gavana Ongwae kwamba bei ya viatu vyake ni Sh10,000. Gavana huyo alikuwa kwenye hafla ya kuchangisha pesa katika Kanisa ya Katoliki ya Marani siku ya Jumapili.

Is there a story unfolding in your community? Let Hivisasa know