Wanasarakasi walitumbuiza wakaazi wa Limuru huku wakionyesha ujuzi wao katika michezo yao ya sarakasi. Vijana hao ambao walisema kuwa wanatoka katika kitongoji duni ya Kibera, jijini Nairobi, walisema kuwa huwa wanatembea sehemu nyingi sana za Kenya kufurahisha na kutafuta naman ya kupata pesa kupitia njia hiyo ya michezo yao.
ADVERTISEMENT
Do you have a lead on a newsworthy story? Share news tips with us here at Hivisasa!