Nairobi ni jiji inacomprise mitaa kibao. Mitaa zingine ni big na zingine in less. But kama kawa, huanga zimerankiwa as in, kwa degree ya usonko na usufferer.
Although Kibich imerankiwa huku chini kutokana na general appearance, imesteer wasee wengi kutambua dream zao.
First ukichora list ya ma-artist wote wa Kenya, utarealize kuwa, rende kubwa origin yao ni Kibich. Uki-listen miziki za hao wasee utatambua kuwa kuna kidifference kikubwa ukiwarank na wale wamelelewa base tofauti.
Tukizingatia ile category ya wasee wameivana noma kibizna, utagundua kuwa base ilikuwanga Kibich. Maze, mtu lazima apitie usufferer wa life ndo aonje utamu kwa ile side ingine ya maisha.
Maisha Kibich inakuwanga msingi wa maisha perfect in life. Na wale wasee wameonja life ya slums, wako na stori noma na inspiring ya kupeana. In fact wameongeza uzito ya eulogy yao.
Wengi huku inje huhate Na kudharau maisha ya mabati. Wao hushangaa vile wazito hupatanga psych ya kuchangamkia life ya iyo design.
But ukweli ndani yake ni noma, azn imesaidia mavijana wengi ambao kama sio maisha ya Kibich iliwatrain kuwa responsible, sai wangekuwa madingo morefire yaani wale thugs hawaingizangi njeve hata wakikomit robbery daylight.
Si wasee wote wamefanikiwa kumada masomo. Tafash ya maisha huenda iliwasukuma kuonja jiji na kuhusle kama waraiya wengine. But Kibera ndo base ya hao wazito ju hata life huko si tafash sana. Kupata keja ni rahisi na bei less although conditions za mazingira ni pathetic.
Hii gava yetu inafaa kuchora vijiproject vitakavyosaidia ku-up conditions za wasee huko. Madevelopment kibao zianzishwe, mashule kibao zizidevelopiwe but waachane na maslums juu waraiya wako sawa Na iyo design.
Gava ikidunga hiyo works, Kibich itazidi kugrow na izidi kuwa foundation na base ya wazito.