Kijana wa miaka kumi na sita aliyedaiwa kupatikana na bastola, risasi ishirini na misokoto ya bangi alifikishwa mahakamani.

Is there a story unfolding in your community? Let Hivisasa know

Mvulana huyo ainaarifiwa lipatikana akiwa na silaha hizo na bangi katika mtaa wa Manayatta huko Kisumu siku ya Jumamosi baada ya operesheni ya kuwanasa wauzaji wa pombe haramu.

Inadaiwa kwamba, rafikiye mshukiwa huyu ambaye alitoroka bado anasakwa na maafisa wa usalama. Polisi walinasa mishale minne pamoja na silaha zingine.

Polisi wanaendelea na oparesheni ya kushughulikia usalama na biashara ya mihadarati.