Mtangazaji wa redio moja hapa jijini Mombasa ameaachiliwa kwa dhamana ya shilingi 100,000 kwa shtaka la uharibifu wa mtambo wa gari.
ADVERTISEMENT
Do you have a lead on a newsworthy story? Share news tips with us here at Hivisasa!
Machi 7, 2016 katika eneo la Bondeni , Billy Miya anadaiwa kuharibu mtambo wa gari wenye thamani ya shilingi 88, 285, ambayo ni mali ya Mercy Mambeya.
Siku ya Jumanne, Billy alikanusha madai hayo mbele ya hakimu mkuu Susan Shitubi.
Kesi hiyo itatajwa tena Mei 3, 2016.