Watu wakitumia simu za rununu. Picha techmoran.com

Do you have a lead on a newsworthy story? Share news tips with us here at Hivisasa!

Mahakama imeongeza muda wa kuizuia mamlaka ya mawasiliano nchini CAK kuweka mitambo ya kunasa mawasiliano ya simu za rununu.Mrengo wa upinzani wa CORD sasa umejumuishwa kwenye kesi hiyo ambayo itasikizwa tarehe 31 mwezi mei. CAK ilikuwa imeshikilia imefanya mashauriano na kampuni za mawasiliano nchini kutaka idhini ya kuendesha shughuli hiyo.Mkurugenzi wa CAK Francis Wangusi anasema ni shughuli iliyostahili kuendeshwa ili kunasa bidhaa ghushi za mawasiliano.