Familia moja kutoka eneo bunge la Kisauni kaunti ya Mombasa inatafuta haki baada ya mtoto wao kuchapwa vibaya na mwalimu wake shuleni.
ADVERTISEMENT
Share news tips with us here at Hivisasa
Mwanafunzi huyo anasemekana kuchapwa na mwalimu huyo kiasi kwamba hawezi akaketi .
Sasa familia yake inataka haki ifanyike dhidi ya mwalimu huyo.