Gavana wa Nakuru Kinuthia Mbugua pamoja na Gavana wa Kaunti ya Nyandarua Waithaka Mwangi alipomtembelea kule Nyandarua siku ya jumanne katika juhudi za kuimarisha uhusiano mwema kati ya kaunti hizo mbili. Ajenda kuu ya ziara hiyo ilikuwa ni kutafuta idhini ya kutoa maji kutoka vyanzo vya maji katika kaunti ya Nyandarua hadi kaunty ya Nakuru.
ADVERTISEMENT
Is there a story unfolding in your community? Let Hivisasa know