Wasafiri wanaotumia magari ya umma (PSV)na wale wanaokwenda kwa miguu wamelipongeza shirika la uchukuzi na usalama nchini NTSA kwa msako wa magari na madereva ambao hawafai kuhudumu katika eneo la Mbaraki kaunti ya Mombasa.

Share news tips with us here at Hivisasa

Akiongea na waandishi jijini Mombasa, Michael Murimi wa NTSA amesema kuwa zoezi hilo linanuia kuhakikisha usalama barabarani na kuondoa magari ambayo muda wake wa kuhudumu umepita.

Akiongea na mwandishi huyu, Gitonga ambae ni dereva wa matatu ameshikwa kwa kosa la kutokuwa na leseni. Amelalamikia msako huo na kusema kuwa ni