Mkurungezi wa Shirika la Ahadi Kenya Trust Stanley Kamau amesema kuwa umaskini na ukosefu wa huduma za afya ndio chanzo kubwa cha kuenea kwa funza miongoni mwa wazee na watoto katika jamii.

Share news tips with us here at Hivisasa