Chumba cha watoza ushuru katika mji wa Kisii kilichochomwa na wakaazi wa mji huo waliojawa na hasira baada ya kung’olewa kwa vibanda vyao vya biashara.

Is there a story unfolding in your community? Let Hivisasa know

Serikali ya Kaunti ya Kisii imekabilia hasara kubwa baada ya wafanyibiashara kulalamikia kutozwa ushuru na vibanda vyao kung'olewa katika shehemu ya Kanisa ya Kiadventista ya Kisii.