Gavana wa kaunti ya Kiambu William Kabogo akagua gwaride la heshima katika hafla ya kufuzu kwa wazima moto arobaini mjini Thika.
ADVERTISEMENT
Share news tips with us here at Hivisasa
Kabogo alikashifu wabunge wa kaunti ya Kiambu wanaotayarisha mswada wa kumng'atua mamlakani na kusema kuwa huu si wakati wa siasa bali ni wakati wakusema na kutenda.