Governor wa Nai Mike sonko amechanua wasee kukaa rada stori na kuibiwa na conmen wanaojiita Sonko Rescue Team.
Baada ya kuboeka na venye hiyo rende ya madingo wanadai kulamba jasho ya wasee, Sonko alichora kwa page yake na kuambia wasee wasiwai toana doo kwa wanati sampuli hiyo.
Hii imejitokeza baada ya rende flani kujitokeza na inavako raia kuwa inatoa loans, nduthi na mengine. Requisite ya kujoin iyo forum ni kutoana soo tatu nonrefundable kama registration fee.
"Hii rende imeivana sana kwa story na internet. Wao huoperate page ziko sponsored ili kureach wasee kibao," Sonko alipost.
"Hao madingo wanapima wasee ufala wakisema kupitia line ya Saf ama Equity, wanaeza offer soft loans kuanzia tenga moja adi finje kwa wale wasee wameregister pekee," aliongezea.
Vile vile alisema kuwa hao majamaa wanatakanga registration fee itumamishwe kwa 071572194 ambayo inapokelewa na Mercilin.
Anaomba wasee wa safaricom kutrack hiyo nangos na kuweka ndani hao majamaa.
Also alihakikishia wasee ile page anaiown na kusema huwa iko na mafollowers zaidi ya 1.3 M na imeverifaiwa na blue tick kuonyeshana ni official page.