Although kuna analysis ilimadwa juzi na governor wa Nai Mike Sonko kutambulika kuwa ndo hudunga works perfect kwa hii job yake ya ugavana ki country-wide, bado kuna wasee hawabambiki kama blogger Cyprian Nyakundi.

Share news tips with us here at Hivisasa

Hii ni baada ya Nyakundi kumnyongea CV kwa wall yake ya Twitter akisema kuwa Sonko ni Mgondi na anafaa ku-up delivery yake. Akasema pia sonko aachane pang'ang'a kibao na kuhanya hanya.

Nyakundi alimsomea sana Boss wa jiji na kusema: "Sonko anabaisha tanks za oxygen, na anawika ati vile anadunga works, yet these same tanks zinakuwanga na wasee wa welding mtaani. Umbwa wewe fanya kazi, wacha umalaya na pombe. Hiyo umakanga yako ya Eastlands pelekea grandy."

Hii hate speech ilifanya Boss wa jiji ashike nare. 

Alijam ile design akaingia FB na kuuliza wasee kama criticism ya aina hiyo inakubalikanga. Mpaka akauliza wasee wamchoree kitu anaeza fanyia huyu jamaa wa 'kumchafulia jina' kipropanganda.

"Enyewe leadership in tafash. Sa jamaa ka huyu (Cyprian Nyakundi) anafanyangwa aje? Criticism ya aina hii inakubalikanga kweli?" Sonko alipost.

Sonko ni ule msee amejitambua na ananaisingi wasee kibao. Mwanzo juzi, amechora wanawake tano wenye uwezo wa kumdeputize na kumjengea Assembly speaker hiyo list. Hii ni baada ya kunarrow ile list ya kitambo ya wasee zaidi ya mbao.