Henry Ohanga, msanii ambaye anatambulika kama Octopizzo Namba Nane, ni moja kati ya maartist ambao works zao zimekubalika na mayouths hapa Kenya.
Ebu tulia nikuchapie mambo kadhaa hukujua kuhusu msela huyu:
Apart from ngoma, Octo ni mjamaa ameiva upande wa IT na maelectronics. Alisomea computer course huko Mombasa raha but akarudi Nai kuchop electronics.
Mr Ohanga na Lupita ni kama wanaendana kwa sababu, Octo pia ni actor. Aliact kwa Shuga season 2 na akachukuliwa pia kuparticipate kwa advert ya Guiness Made of Black na guest appearance kwa MALI.
Being that ameishi Kibera na anatambua shida wasee hupitia hapo, Octo amekuwa akiembark on projects kadhaa za kuempower mayouths ili waishi maisha ingine ya maana.
Octo ni founder wa groups Kama Y.G.B (Young Gifted and Black) ambayo inaconsist of rappers, graffiti artics, poets na madancers.
Octo pia ni family man na buda wa mared roses wawili, Zara and Tracy.
Msanii huyu anadeal na companies bigibigi kama Safaricom, Coca-Cola na Nescafe.
Upande wa kuchana manze huyu jamaa ni wire. Amewin mafreestyles competitions mob including Hip Hop Halisi Freestyle Challenge, Usanii Kona Hip Hop Challenge na G Pange Hip Hop Challenge.
Ameweza pia kukwachua awards kama Best Male Artist of the year Nzumari AwardsKati ya wasanii ambao Octo amelift ni Vicmas Luodollar - Bank Otuch.