Wakaazi wa Nakuru wametakiwa kuwachagua viongozi wenye maono. Mchanganuzi wa kisiasa Ezekiel Kamau anasema kuwa wananchi hukosea kwa kuwachagua viongozi wasio na maono.
ADVERTISEMENT
Share news tips with us here at Hivisasa
Kwa mujibu wake, swala hilo husababisha wadi nyingi kusalia nyuma katika maendeleo.
"Shida kubwa hutokea pale wananchi wanapowachagua viongozi fisadi wasio na maendeleo miyoni," Kamau alisema.
Alikuwa akizungumza wakati wa mahojiano ya kipekee.